Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Karibu sana naona umefika penyewe jiandae mama kuna get tugedha ya Mikumi jipange vp vekesheni lakini ilikuwa bomba?

Hehe heeeee lazima tuwemo humo mikumi, vacation ilikuwa bomba saana, yani i feel fresh ile mbaya. thanks
 
Gosh natengeneza kiinglish cha kikwetu sasa.....I LIKE IT MY NGULI!!!

Thats so good of u! pitia thread ya FIESTA kwenye pg ya 2 nimweka picha yetu wawili.
 
we unawadanganya JF eti ulikua na mimi??? tena uombe radhi, mi sinilienda kwenye maombi wewe!!!! ZD tulikua wote kule...
 
wewe umemfumania untaka akuombe radhi?muache haraka kuna wanaume kibao ambao hatu chiti.
 
aombe radhi kwa kuwadanganya JF eti na mi nikuwemo kwenye kulabuka chakari namna hiyo...

hayo mengine ntachukua hatua kali zaidi..we subiri utaona
 
we unawadanganya JF eti ulikua na mimi??? tena uombe radhi, mi sinilienda kwenye maombi wewe!!!! ZD tulikua wote kule...
Bht mie nilishakuambia,huu ukoo wa kiblurei na Maombi/Mungu mbalimbali.Sio kama nagombanisha ,lakin ndio hivo.
 
Na wewe niombe radhi kama mimi nilivyomtaka radhi BHT tafadhali nitoe kwenye ukoo usiomwamini Mungu.
 
aombe radhi kwa kuwadanganya JF eti na mi nikuwemo kwenye kulabuka chakari namna hiyo...

hayo mengine ntachukua hatua kali zaidi..we subiri utaona

Huo ndio moyo wa kike..sasa kwa kuanzia nijibu swali langu kwenye PM.
 
Bht mie nilishakuambia,huu ukoo wa kiblurei na Maombi/Mungu mbalimbali.Sio kama nagombanisha ,lakin ndio hivo.

Nakumbuka japo ulikua reactive....sasa dear ni maombi kwa kwenda mbele...japo nguli tu abadilike basi huyo blurei nahitaji nguvu zaidi
 
Na wewe niombe radhi kama mimi nilivyomtaka radhi BHT tafadhali nitoe kwenye ukoo usiomwamini Mungu.

Kwani ZD ndo alikuweka kwenye ukoo wa kiblurei??? na we ulivokubali proudly na majestically ati..."NDIO NI KAKA YANGU!!!!!!!!!!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…