Curtiz JF-Expert Member Joined Oct 1, 2021 Posts 1,364 Reaction score 2,583 Dec 22, 2025 #21 Mbaga Jr said: Ww huna akili, mada inamhusu Bella, comment Yako imekaa kujibu mada inayomhusu Bella mana hujareply Kwenye comment inayomhusu nyoshi. Ingekuwa umereply comment inayomhusu nyoshi Ndo ungekuwa sahihi Click to expand... Walimu wako walipata sana shida, sawa umeshinda mbaga mdogo
Mbaga Jr said: Ww huna akili, mada inamhusu Bella, comment Yako imekaa kujibu mada inayomhusu Bella mana hujareply Kwenye comment inayomhusu nyoshi. Ingekuwa umereply comment inayomhusu nyoshi Ndo ungekuwa sahihi Click to expand... Walimu wako walipata sana shida, sawa umeshinda mbaga mdogo
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 16,028 Reaction score 23,380 Dec 22, 2025 #22 Tate Mkuu said: Mwana sana huyu jamaa! Hana adui huyu kwenye maisha yake ya kila siku. Christian Bella, rais ya masauti duniani! You deserve it bro. Umeishi miaka mingi Bongo kwa amani na uzalendo wa hali ya juu. Huna nongwa hata kidogo. Click to expand... Hata mzee wa 'kitambaa cheupe,', naye wala! Kafa kishujaa huyo mzee.
Tate Mkuu said: Mwana sana huyu jamaa! Hana adui huyu kwenye maisha yake ya kila siku. Christian Bella, rais ya masauti duniani! You deserve it bro. Umeishi miaka mingi Bongo kwa amani na uzalendo wa hali ya juu. Huna nongwa hata kidogo. Click to expand... Hata mzee wa 'kitambaa cheupe,', naye wala! Kafa kishujaa huyo mzee.