Christian Bella asema "Nagharamia" ukipewa airtime utakuwa mkubwa

Pole umekali wivu mtotot wa kiume kama dada zako wa mtaani

Acha kudharau jinsia ya kike wewe, inamaana hiyo tabia ipo kwa dada, mama, shangazi zako huko kwenu ndio umeamua ufungukie hapa??
 
Niliexpect wimbo mzuri sana kutoka kwa hawa jamaa wawili nnaowaamini lakini sivyo, nnao kwenye pc najitahidi kuucheza mara kwa mara ili uingie kichwani niupende but bado sijafanikiwa
 
tatizo c.bella nae habadilishi kidogo style uimbaji wake!yani hakuna tofauti ya kupanda na kushuka kwa sauti kati ya wimbo mmoja na mwengne anachofanya ni kukazia sauti tu kwenye beats...hii inachosha kwa kweli japo he has got a nice vocal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…