Christian bella Kubadilisha Passport

Nataman niende Congo wew unatamani bongo?

Sasa bella hebu usifanye hiyo kitu , nyumban ni nyumban hata kama kuna nini
 
Jamaa namkubari hanaga makuu tofauti na wainba dansi wenzake yeyee ameendelea kuwepo
Siku hz anaimba bongo fleva.. Dans ameitupa.. Kwa wapenz wa dans kwel wanaelewa.. Na anaboa.. Ila kwa masauti hana mpinzan.. Labda kidoogo 33 wa fm au Raja ladha wa iliyokuwa mashujaa ndio wanaweza kumfikia kibongo bongo..
 
Siku hz anaimba bongo fleva.. Dans ameitupa.. Kwa wapenz wa dans kwel wanaelewa.. Na anaboa.. Ila kwa masauti hana mpinzan.. Labda kidoogo 33 wa fm au Raja ladha wa iliyokuwa mashujaa ndio wanaweza kumfikia kibongo bongo..
Yah siku hizi kahama.
Ila mimi mziki wa bongo siuelewi mfano chekecha cheketua hivi haikuwa dansi ile maana yale ma guiter kama ya dansi
 
ndio maana somo la civics watoto wanaferi sana siku hizi ona uyu mleta uzi hajui tofauti ya passport na uraia
 
The king of vocalist Melody Christian Bella Obama.
amesema yuko mbioni kuachana na uraia wa nchi yake Kongo DRS ya Zamani na kuwa raia wa Tanzania.


Ni Congo DRC, sio DRS.
 
Hizo ndio sifa za kuomba uraia Tanzania? So kutumbuiza Ikulu hata mara nyingi kiasi gani, kunampa sifa za kuomba uraia wa Tanzania?

He didn't give any clear reasons why he wants to be a Tanzanian.. Sijaona sbb..!!
 
huyu jamaa namkubali sana toka kipindi kile cha YAKO WAPI MAPENZI.
1. Yako wapi mapenzi.
2. Safari sio kifo.
3. Nakuhutaji.
4. Amerudi analia.
Hua sichoki kuzisikiliza.

Nimemis kusikia majina kama PDG Ndama Mutoto ya ng'ombe, PDG(Pedejee) Muzamir Katunzi Young Millionaire, Jack Pemba, Kinyainyai Super Tall, Baraka Kapuya Full Boss, Kanakamfumu, Papaa Msofe.

Kwenye ngoma za bella lazima uyasikie hayo majina.
 
Hv passport kama ya China inauzwa sh ngapi kwa wale wataalam wa Underground
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…