Christian Bella mpokee Yesu kuwa bwana na mwokozi wako, uimbe gospel

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Habari yako:

Naamini utakuwepo jf au kama siyo marafiki zako wapo humu please fikisha ujumbe huu kwake..

Kwa upande wangu CB ni mwimbaji mwenye sauti nzuri sana lakini pia tune zake nimetokea kuzikubali sana...

USHAURI wangu HEBU OKOKA; UMPOKEE YESU KUWA BWANA WA MWOKOZI WAKO...Then umwimbie Mungu. UTAJUTIA HUKU.

KARIBU HUKU...
 
Atajutia nini tena huko mkuu???mbona unampa ushaur huku unamtisha???
 
Mwite na Diamond na Ally Kiba waokoke
 
Ningefurah kama ungewaambia mtu kama
Wolper
Aunt ezekiel
Wema na wengine wa type hii wamrudie muumba wao..wakristoo waokoke..waislam wamche allah..
 
Tatizo akija huko mtataka aimbe bila hela eti huduma my foot!!ila ilo la kumpokea Yesu nakuunga mkono Mkuu
 
Mtoa mada una matatizo.

Huyo Bela akiokoka atapoteza mashabiki hadi ashangae.
 

Kwa hiyo ukisikiliza kibao matata kama MAPENZI YAKO WAPI unakereka sio??.. hebu tuondolee mambo ya kizee hapa...bela endelea kutupa vitu vya maana usimsikilize huyu mzee alojaa stress za maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…