Christian Bella vs Banana Zorro

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Ni wasanii wenye sauti na Melody nzuri ...baadhi ya nyimbo zao

BANANA ZORRO
1.mama
2.Pressure
3.Nzela
4.Zoba

CHRISTIAN BELLA
1.Mama
2.nakuhitaji
3.msaliti
4.nashindwa

Nani zaidi??
 
Au JB Mpiana na Werrason au Ferré Gola na Fally Ipupa nani zaidi?
 
Namkubali BananaZoro sana hasa ile ngoma ya MAMA yakitambo ila ni hits song na ujumbe mzur inaizd ya Bella
 
Bella mfananishe na wakali wenzake akina Fally ipupa, Ferre Gola, Shikito n.k
 
Bella ni msanii wa kwanza wa dance anaye freestyle kwa kutumia gitaa na ndio maana bella yupo karibu sana na mpiga gitaa wake
 
Katika Muziki kitu wakati ni muhimu sana kukiangalia. Hao ni wasanii wa wakati tofauti. Kila mmoja ni mkali kwa wakati wake kwa muziki wa aina yake.
 
Christian bella the King Melody vocalist.. namkubali sana toka na YAKO WAPI MAPENZI
 
Wote wakali sema tu wanatofautiana vipindi,kipindi cha nyuma banana alikua tishio lakini kipindi hiki ni cha bella the king of melody.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…