Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono..
Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa biashara hivyo basi wadadisi wa maswala ya siasa wanamuelezea kama atakua na mlengo wake wa mageuzi ya vuguvugu la siasa anazozionesha hasa hizi za mageuzi ya kweli basi atapenya kwa kasi kubwa sana..kwani kwa sasa vijana na wazee wengi wanataka mageuzi kuanzia kata na majimbo hadi taifa...
Kijana mimi kwa upande wangu sina pingamizi juu yako kwani nimeweza kuona uwezo wako wa kujenga hoja kama utapata watu wazuri kukupa ushirikiano....hongera kwa kutangaza au kwa kuwa na nia ya kuwakomboa wakazi wa musoma vijijini