Zingatia yafuatayo:
CSSC wana miradi mingi inayofadhiliwa na wafadhili mbalimbali hivyo hata mishahara yao inategemea mradi unafadhiliwa na watu gan USAID, EU n.k. Vile vile mshahara utategemea elimu, uzoefu na jinsi gani utakavyojenga hoja wakati wa kujadili mshahara.