nimewaona mkuu ila nimeishia kuwaangalia na kucomment tu maana sina cha zaidi naweza fanya...........Aisee, kumbe na we umeona eeh!
nimewaona mkuu ila nimeishia kuwaangalia na kucomment tu maana sina cha zaidi naweza fanya...........
Huyo sijamwona sana kama hao rafiki zangu vipenzi............Inamaana huyo dogo mwenye ball hukumouna?
nimewaona mkuu ila nimeishia kuwaangalia na kucomment tu maana sina cha zaidi naweza fanya...........
Nimeishia kutamani
Huyo dogo kipaji chake acheni akue kwanza
huyo ni jr wa CR7 mkuu........siyo mbaya kutamani picha mkuuu....kwan ni jr wa ronaldo yupi delima au ronaldo madrid...