Christiano Ronaldo anabebwa mno na vyombo vya habari

Wewe chizi, kama kashindwa mfaransa unadhani Argentina wakafanya nini so far, acha ushabiki wa kij****a
Ni kweli Argentina ni timu nzuri kuliko ureno wala jamaa hajakosea
 
Ni kweli Argentina ni timu nzuri kuliko ureno wala jamaa hajakosea
Uzuri wa mtu mmoja mmoja ambao hauna matokeo yoyote ya maana/kujivunia.
Argentina- Fainali nne= 0 kombe.
Portugal-Fainali mbili= 1 kombe.
Ipi timu nzuri hapo sasa?
 
Mimi nashangaa wanamfananisha na MFALME duh hawa watu vipi? Ronaldo kwanza hastahiki kupewa hicho cheo wanachokitamani hawa washabiku wake maana humu hapatokalika!

Messi=
Ronaldo=Samatta
Messi=Sserunkuma
 
Ilikuwa lazima aonyeshwe kabla ya safari yake ya Morocco...!😀😀
 
Mi niliona hilo nikajiuliza nikasema labda sijui mpira,hata kabla ya hii fainali ronaldo alikua akirudiwa kuoneshwa yeye kuanzia asubuh mpaka mechi mpya ikianza,anapendwa jamanii
 
Rafiki,ulinganifu wako hauna mantiki..simply improbable. Portugal amemfunga France, France alimfunga Germany, Germany alimfunga Argentina 4-0 Mwaka ule....! Mpira unachezwa uwanjani. S Porojo hizi
 
Rafiki,ulinganifu wako hauna mantiki..simply improbable. Portugal amemfunga France, France alimfunga Germany, Germany alimfunga Argentina 4-0 Mwaka ule....! Mpira unachezwa uwanjani. S Porojo hizi

Usiongee kishabiki mzee..Kumbuka kuwa Argentina huwa hafungwi kirahisi rahisi unavofikiria the best team in the world!
Kampiga ujerumani 10 kwa 8, na wamedraw 4times,,! Hao wengine ndio usiseme wamepigwa ka ndala fc

So huyo mreno wako akikutana na hao wa America ya kusini (Argentina) atakula nyingi tu!

Kumbuka kuwa olympic games Ureno kapangwa na Argentina U23
 
Mpira unachezwa uwanjani!

Kama mpira ungechezwa kwa kuangalia rekodi...Ujerumani asingemfunga Brazili 7-1.

Brazil hana mpira yule, so usimlinganishe na baba yake wa america ya kusini! "Arg ni timu ambayo isiyotabirika duniani" nadhani huu msemo unaufahamu!

Timu yeyote inayokutana na hawa jamaa yatakiwa ijipange kisawa sawa, in-short ni timu ambayo imekamilika kila idara, tatizo linalowaumiza na kupelekea baadhi ya mastaa wa hiyo timu kutundika daluga ni uongozi wa chama chao AFA ndio kina matstizo,hakiwathamini!
 
Mpira unachezwa uwanjani!

Kama mpira ungechezwa kwa kuangalia rekodi...Ujerumani asingemfunga Brazili 7-1.

Brazil hana mpira yule, so usimlinganishe na baba yake wa america ya kusini! "Arg ni timu ambayo isiyotabirika duniani" nadhani huu msemo unaufahamu!

Timu yeyote inayokutana na hawa jamaa yatakiwa ijipange kisawa sawa, in-short ni timu ambayo imekamilika kila idara, tatizo linalowaumiza na kupelekea baadhi ya mastaa wa hiyo timu kutundika daluga uongozi wa chama chao AFA ndio kina matstizo,hakiwathamini!
Mpira unachezwa uwanjani!

Kama mpira ungechezwa kwa kuangalia rekodi...Ujerumani asingemfunga Brazili 7-1.

Nilikosea hapo, ujerumani kapigwa 10 times kwa 8,na wamedraw 4 times
 
Unamahaba mpaka unakuwa kipofu,
Argentina kapigwa mara 43,kadroo 25 na kashinda 38 dhidi ya Brasil.
Hivyo kuyumba kwao kusikufanye upofu.
 
Uzuri wa mtu mmoja mmoja ambao hauna matokeo yoyote ya maana/kujivunia.
Argentina- Fainali nne= 0 kombe.
Portugal-Fainali mbili= 1 kombe.
Ipi timu nzuri hapo sasa?
Kaangalie viwango vya fifa vya mwaka 2016 july... Utapata jibu!!!
 
Reference yangu ni France...wewe yako ni ipi?au assumption?
 
Uzuri wa mtu mmoja mmoja ambao hauna matokeo yoyote ya maana/kujivunia.
Argentina- Fainali nne= 0 kombe.
Portugal-Fainali mbili= 1 kombe.
Ipi timu nzuri hapo sasa?

Kama hujui kugoogle omba msaada tutakufundisha! Huwezi kuwafananisha nyangumi na sato wakawa sawa

Ureno wamechukua kombe lkn bahati imewatembelea,kwani mechi nyingi tumeziona wakicheza hovyo kabisa,na hasa huyo mnaempenda tumeona akiwa anarukaruka tuu uwanjani., kama hamtaki ipeleke ureno icheze na Argentina uone...
 
Tulia kijana, basi tufanye Messi kashinda Copa america
 
Kaangalie viwango vya fifa vya mwaka 2016 july... Utapata jibu!!!
Hivyo viwango hata ubelgiji yupo juu ya ureno na germany, lkn Germany ni bingwa wa dunia, Chile kampiga Argentina fainali mbili mfululizo lkn yuko chini. Tunachoangalia ni vikombe achana na hizo blaa blaa
 
Friendly match ya Portugal vs Argentina ya mwisho ureno walishinda 1-0
 
Hivyo viwango hata ubelgiji yupo juu ya ureno na germany, lkn Germany ni bingwa wa dunia, Chile kampiga Argentina fainali mbili mfululizo lkn yuko chini. Tunachoangalia ni vikombe achana na hizo blaa blaa
Chile kampiga argentina copa america halafu huyo Chile kwenye world Cup alifikia wapi? Ubelgiji kuwa juu ya ureno ni sawa tu...huyo ureno ni kipofu ambaye siku zote haoni ila kabahatika kuona mwezi mwaka huu!!!

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…