Basi kuanzia sasa tutaeshimu viwango vya fifa kuliko vikombeChile kampiga argentina copa america halafu huyo Chile kwenye world Cup alifikia wapi? Ubelgiji kuwa juu ya ureno ni sawa tu...huyo ureno ni kipofu ambaye siku zote haoni ila kabahatika kuona mwezi mwaka huu!!!
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Ubelgiji alifika wapi mpaka awe juu?Chile kampiga argentina copa america halafu huyo Chile kwenye world Cup alifikia wapi? Ubelgiji kuwa juu ya ureno ni sawa tu...huyo ureno ni kipofu ambaye siku zote haoni ila kabahatika kuona mwezi mwaka huu!!!
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
ukifiata historian hata ureno alikuwa anachezea kichapo kwa ufaransa tangu miaka ya 70's, lakini kaja kupigwa fainali tena nyumbani. Historian ipo itabaki kuwa historia, tunazungumzia hapa mafanikio ya Rinaldo sio historia za timu. by the way Rinaldo is already in the history as part of portugal team winner of Euro, Messi historian yake itaishia Barcelona tu.Ila tim zote zimechezea bakora ya huyu jamaa nara nyingi kuliko kumfunga wao!!! Zingatia hilo...
Kumbuka messi ni kijana kwa miaka miwili nyuma ya ronaldo! Na mourinho kamtaja pele, maradona na messi kuwa kwa mujibu wake hao ndiyo wachezaji bora watatu duniani kuwahi kutokea! Usiniambie kuwa wewe unamjua sana christiano ronaldo kuliko Josee mourinho?ukifiata historian hata ureno alikuwa anachezea kichapo kwa ufaransa tangu miaka ya 70's, lakini kaja kupigwa fainali tena nyumbani. Historian ipo itabaki kuwa historia, tunazungumzia hapa mafanikio ya Rinaldo sio historia za timu. by the way Rinaldo is already in the history as part of portugal team winner of Euro, Messi historian yake itaishia Barcelona tu.
Dunia yote inamjua ronaldo kuwa kaiongoza ureno ikachukua euro, na dunia nzima inajua messi's Argentina is a looser. Sasa who is mourinho wa kumfahamu CR?Kumbuka messi ni kijana kwa miaka miwili nyuma ya ronaldo! Na mourinho kamtaja pele, maradona na messi kuwa kwa mujibu wake hao ndiyo wachezaji bora watatu duniani kuwahi kutokea! Usiniambie kuwa wewe unamjua sana christiano ronaldo kuliko Josee mourinho?
Friendly match ya Portugal vs Argentina ya mwisho ureno walishinda 1-0
Hivyo viwango hata ubelgiji yupo juu ya ureno na germany, lkn Germany ni bingwa wa dunia, Chile kampiga Argentina fainali mbili mfululizo lkn yuko chini. Tunachoangalia ni vikombe achana na hizo blaa blaa
Ubelgiji alifika wapi mpaka awe juu?
Mourinho ni mreno mwenzake hivyo katika hali ya kawaida tulitegemea mourinho kumpenda sana Ronaldo kuliko messi. Pili, Mourinho aliwahi kuwa kocha wa ronaldo wakati mourinho anainoa real madrid hivyo mourinho anajua sana kiwango cha mpira kilichomo miguuni kwa ronaldo kuliko wewe na the rest of world...wewe na walimwengu wengine mtaishia kununua sifa zake kama mununuavyo bidhaa mbovu kwasababu tu ya kupigiwa promo!!! Wewe ni nani mpaka umjue Ronaldo kuliko Mourinho?Dunia yote inamjua ronaldo kuwa kaiongoza ureno ikachukua euro, na dunia nzima inajua messi's Argentina is a looser. Sasa who is mourinho wa kumfahamu CR?
Mourinho ni mreno mwenzake hivyo katika hali ya kawaida tulitegemea mourinho kumpenda sana Ronaldo kuliko messi. Pili, Mourinho aliwahi kuwa kocha wa ronaldo wakati mourinho anainoa real madrid hivyo mourinho anajua sana kiwango cha mpira kilichomo miguuni kwa ronaldo kuliko wewe na the rest of world...wewe na walimwengu wengine mtaishia kununua sifa zake kama mununuavyo bidhaa mbovu kwasababu tu ya kupigiwa promo!!! Wewe ni nani mpaka umjue Ronaldo kuliko Mourinho?
Unaweza kushinda lkn kwa bahati kama ilivyotokea kwa ufaransa, hilo goli moja mliomfunga Albiceleste mliotea tu
Kumbuka ureno kashinda mechi mbili tu dhidi ya Argentain, na amepigwa 5 na wamedraw mara moja angalia chini hapo usipende kuhadithiwa
Portugal v Argentina D 0-0 International Friendly
Portugal v Argentina W 1-3 International Friendly
Portugal v Argentina W 1-3 International Friendly
Portugal v Argentina W 0-2 International Friendly
Argentina v Portugal W 2-0 Copa das Nacoes
Portugal v Argentina L 3-1 Independence
Argentina v Portugal W 2-1 International Friendly
Portugal v Argentina L 1-0 International Friendly
Argentina kwa historia kabla ya messi sawa na ni enzi za maradona, utuambie hii Argentina ya sasa imeshinda kombe gani na huyo messi wako?Mkuu hawa tulishachokanao humu, hata uwape ukweli vipi hawatakuwelewa,
1- wanajua fiika Mesi ni bora lkn kibuli tu
2-wanajua Agentina ni bora lkn ubishi tu wakijinga
3-wanajua fiika mzee wa dance a.k.a rukaruka uwanjani hamna kitu ila wanajiridhisha tu
Olympic na fifa world cup u20Argentina kwa historia kabla ya messi sawa na ni enzi za maradona, utuambie hii Argentina ya sasa imeshinda kombe gani na huyo messi wako?
Hata Nigeria washawahi kushinda hayo makombe, kwanza Olympic ni makombe ya chipukizi tu na hayana uzito hata wa mashindano ya vilabu. Achilia mbali euro, chan na WC.Olympic na fifa world cup u20
Hata Nigeria washawahi kushinda hayo makombe, kwanza Olympic ni makombe ya chipukizi tu na hayana uzito hata wa mashindano ya vilabu. Achilia mbali euro, chan na WC.
Argentina kwa historia kabla ya messi sawa na ni enzi za maradona, utuambie hii Argentina ya sasa imeshinda kombe gani na huyo messi wako?
Mfalme kwao barcelona, akienda Argentina kuna mfalme maradona.Mfalme kabakiza Copa America..Je hao wenye makombe ya dunia na europe wana nini cha ziada kumzidi mfalme huyu? Mbona mnakuwa kama mmefumbwa macho
Ndio maana ikaitwa U-20, hilo hata ghana alishawahi kulichukua.Fifa u-20 world cup acha kutufanya mafala