Christiano Ronaldo azindua nguo zake mpya za ndani

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, amezindua nguo zake mpya za ndani (boksa) ambazo zimepewa jina la Spring/Summer 18 CR7 (SS18 CR7).

Kwa mujibu wa tovuti ya mchezaji huyo, imeonyesha kuwa nguo hizo zinauzwa kuanzia kiasi cha Euro 17.95 ambazo ni takriban shilingi 49,778 za kitanzania hadi Euro 26.95 ambazo ni zaidi ya shilingi 74,766 za kibongo.



 
Mwanamume kamili unawezaje kuvaa boksa zinazobana utafikiri nguo za ndani za wanawake Huenda huyu ni punga kama inavyosemwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…