Tetesi: Christiano ronaldo na Gareth BALE

Tetesi: Christiano ronaldo na Gareth BALE

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
509
Reaction score
655
Kwa sasa ninaona kama hawa wakali wawili wa real madrid Christiano ronaldo na BALE kama wanacheza chini ya kiwango nilichokuwa nawaona wakikionyesha mzimu uliopita kwenye league ya laliga na champions league..
ila nawaona akina LUCAS VAZQUEZ na MORATA wakiwa na mchezo mzuri..hasa vazquez ninaona akiwa vizuri sana katika ground anapoingia akitoka benchi....
Labda mtazamo wangu ni mbaya wadau..
ila kwa kweli mnyama ronaldo niliyemfahamu na chenga zake za vizigino ciyo huyu wa sasa..
au BALE wa mipira ya vichwa ciyo huyu..
labda umri nao unaanza kumkataa kidogokidogo...
mara nyingi ronaldo amekuwa mtu wa kulalamika mno..
 
Back
Top Bottom