Christiano Ronaldo

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...ama mwenye pesa sio mwenzio, hivi kina Chuji, Machupa, Nazir Khalfan nk wakisoma haya wanajiskiaje?
 
Sio tu akina Machuppa..mbona umewasahau akina ...????*&%$... mtaa wa Emirates?, wale nao na Babu yao pesa ya kununulia Ferrari ni utata mtupu.
 
Dogo yuko fiti anajiandaa kuwapa dozi the blues jumapili
 
Sio tu akina Machuppa..mbona umewasahau akina ...????*&%$... mtaa wa Emirates?, wale nao na Babu yao pesa ya kununulia Ferrari ni utata mtupu.

Unajua suala la aina ya gari ya kutumia mtu ni mapenzi kwanza na hiyo brand husika then uwezo wa kununua ni kitu kinachofuatia na vingine kama upatikanaji wa spareparts katika nchi uliyopo;kwasababu unakuta gari yenyewe una-import.
Ukizungumzia vijana wa Ashburton Groove(Emirates) wanaweza kupata kama wakihitaji wanzetu kule unaenda showroom unchagua gari halafu unalipa kidogokidogo mpaka unamaliza;sijaona cha ajabu kwa wachezaji kwasababu wapo wenye magari ya thamani kuliko hata hilo la CR7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…