Mtume gani alikuwa mkatoliki?Kwani kuna tatizo mtu akisali Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume, Ushirika wa Watakatifu?
Mtume gani alikuwa mkatoliki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu katoliki halijawahi kuwa kanisa takatifu, katoliki ni kanisa la Antipas maana yake ni kanisa mpinga Mungu, ni kanisa la Papa aliyejipa utakatifu na mamlaka ya Mungu, so danganyeni wasiotaka kusoma maandiko ili waujue ukweli wa Neno la Mungu

Mhh! Lipo jambo linatafutwa. Leo kaingia kanisani kwenye kwaya ya Roma na moja kwa moja mpaka fenti fodi! Kungali mapema ila yajayo yanastirika!Unaweza kuipa maneno gani hii video? Christina Shusho akiwa ibadani kanisa Katoliki! Si kwa nia mbaya bali kujifunza tu!
View attachment 1065352
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa linawezaje kua takatifu? Nani analitakasa?
Kanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, torokaKama hujui kaa kimya
Maondoleo ya dhambi na uzima wa milele...aminaKwani kuna tatizo mtu akisali Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume, Ushirika wa Watakatifu?
ni mjanja anafanya shooting sceneUnaweza kuipa maneno gani hii video? Christina Shusho akiwa ibadani kanisa Katoliki! Si kwa nia mbaya bali kujifunza tu!
View attachment 1065352
Sent using Jamii Forums mobile app