MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Huu ni ujinga wa kiwango cha SGR, wakati babu zako wanafanya, na pengine baba yako anafanya kafara na matambiko kwa mizimu huko kwenu Nanjilinji, ma-Papa walikua wanakunywa mvinyo na kuongea na Mungu. You know nothing about kanisa katoliki acha kuongea kama mtu aliyepagawa na mapepo.Kanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.
Heri asomaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa na wivu ni chanzo cha chuki na uzushiKanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.
Heri asomaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu katoliki halijawahi kuwa kanisa takatifu, katoliki ni kanisa la Antipas maana yake ni kanisa mpinga Mungu, ni kanisa la Papa aliyejipa utakatifu na mamlaka ya Mungu, so danganyeni wasiotaka kusoma maandiko ili waujue ukweli wa Neno la Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unajua hiyo video ni ya lini au unakurupuka?Hiyo ni parokia gani inakiuka utamaduni wa kanisa inaimba nyibo za furaha wakati kilitrujia huu ni mwezi wa toba na maombolezo? sherehe zote za kanisa zimasimamishwa, ngoma na chereko zote zimesimamishwa hawa wa wapi?
Kama hujui kaa kimya
Halafu katoliki halijawahi kuwa kanisa takatifu, katoliki ni kanisa la Antipas maana yake ni kanisa mpinga Mungu, ni kanisa la Papa aliyejipa utakatifu na mamlaka ya Mungu, so danganyeni wasiotaka kusoma maandiko ili waujue ukweli wa Neno la Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera ...Halafu katoliki halijawahi kuwa kanisa takatifu, katoliki ni kanisa la Antipas maana yake ni kanisa mpinga Mungu, ni kanisa la Papa aliyejipa utakatifu na mamlaka ya Mungu, so danganyeni wasiotaka kusoma maandiko ili waujue ukweli wa Neno la Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu baadhi umeongea sahihi ila kusema kanisa katoliki ni chanzo cha walokole tena unasema wame design ina maana ulokole ni kuiga? Unaifahamu pentecoste? Ilianza muda UPI?Kanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.
Heri asomaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka wewe ni msabatoKanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.
Heri asomaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani Mkubwa Tena Luspeli na Ukome... Pumbaaaaaaaaavu.....!Halafu katoliki halijawahi kuwa kanisa takatifu, katoliki ni kanisa la Antipas maana yake ni kanisa mpinga Mungu, ni kanisa la Papa aliyejipa utakatifu na mamlaka ya Mungu, so danganyeni wasiotaka kusoma maandiko ili waujue ukweli wa Neno la Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wachache tu Kama wewe wenye fikra duni. Mungu tu akusamehe maana hujui utendalo.Kanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.
Heri asomaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni miongoni tu mwa wajinga wachache. Hajui akisemacho. Achana nayeHuu ni ujinga wa kiwango cha SGR, wakati babu zako wanafanya, na pengine baba yako anafanya kafara na matambiko kwa mizimu huko kwenu Nanjilinji, ma-Papa walikua wanakunywa mvinyo na kuongea na Mungu. You know nothing about kanisa katoliki acha kuongea kama mtu aliyepagawa na mapepo.
Samahani.Kanisa katoliki limefanya yafuatayo chini ya viongozi wao. Kama hujui, toroka
1. Walibadili siku ya ibada kutoka jumamosi kwenda jumapili
2. Walianzisha ubatizo wa maji ya bakuli badala ya maji mengi
3. Walibadili amri za Mungu kutoka 10-9, lakini wakavunja ya 9 zikawa mbili. Soma kutoka 20
4. Wanaamini Roho haifi. Na kwamba mtu akifa anaweza kuombewa na kasisi hata Kama alikuwa mdhambi akasamehewa na akaenda paradiso
5. Wao ndio wenye zile elimu za toharani ( Pagatory)
6. Papa Ni mungu anaeonekana (Vicar of Christ)
7. Wao ndio madesign wa hizi imani za kilokole. Maproohet na Maapostal wanafaham ilo. Roma Mama lao Mzee soma Uf. 17
Last bt not least. Yeye ndio beast from many water.
Heri asomaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akubarikiKwani kuna tatizo mtu akisali Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume, Ushirika wa Watakatifu?
Baba la mashetani si linakaa VaticanShetani Mkubwa Tena Luspeli na Ukome... Pumbaaaaaaaaavu.....!
Ewaaaa....nahisi hujakoseaBila shaka wewe ni msabato
Mungu akubariki