Christina Shusho, colabo na Diamond hapo umeliwa!

Christina Shusho, colabo na Diamond hapo umeliwa!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839


Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!

Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo. Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa ana assingment
 
Kila mwanamke ni chizi au tuseme kila mwanamke ana wazimu wake tofauti yake huyo shusho na wake zetu au mama zetu ni kwamba wao hawapo (hawajapata bado nafasi ya kuuonyesha) au hawakuwahi kutaka kuuonyesha huo uwendawazimu wao.
 
Shusho anasemajee Kwan yy
Screenshot_20240429_164838.jpg
 
Let her do whatever she feels coz she's the only one justifies her destination life in this planet journey.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
hongera mtumishi wa mungu chistina shusho mungu akubariki na huduma yako😍😍
 
Back
Top Bottom