Christmas 2024🎄 umejipangaje?

Christmas 2024🎄 umejipangaje?

Kipi umekiandaa kuhusu KRISMASI? NINI Umuhimu wa KRISIMASI MAISHANI MWAKO?
Nimeandaa vinguruwe viwili kreti 10 za castle lite, mizinga mikubwa 15 ya konyagi na nauli ya kwenda na kurudi moshi, vingine wataandaa kina Shirima, Lyimo, Mosha, Massawe, Lyatuu na kina Kimario.

Umuhimu wa Christmas katika maisha yangu ni kula na kunywa kusherehekea kuzaliwa Kristo, Bwana na mwokozi wa wanadam
 
Back
Top Bottom