Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,477
- 1,668
Heshima kwenu wanajukwaa.
Kama tunavyojua kwamba huu ni msimu wa sikukuu za xmass and new year na kuanzia leo just tunahesabu siku kuelekea siku ya jingles, so uzi huu ni maalum kwa ajili ya kukusanya nyimbo mbalimbali za xmass ili tukumbushane greatest hits za siku hii adhimu.
NB. Binafsi ninazo kadhaa but nashindwa kuzi upload hapa.
Kwa wale wenye zile jingles zinazoimbwa kwa base flan a.k.a zilipendwa msisite ku share.
Karibuni.