Funa the Wild
Senior Member
- Aug 1, 2022
- 167
- 282
CHRISTMAS SPECIAL🎁
Date: 25th, DEC 2024
The Horizon Beach 🏖️
Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za "The Horizon" ndani ya mji wa "Bagamoyo" ikiambatana na kusherehekea sikukuu ya "Christmas", ikitukutanisha wadau kutoka kona mbalimbali. Ikiambatana na kufanya "Utalii wa ndani" kwa kuzungushwa na "Boat" na shughuli lukuki za Kitalii.
Shughuli zitakazofanyika:-
Zipline || Paintball || Boat Safari🛥️ || Swimming 🏊🏼♀️|| Yoga || Photo shoot📸 || Beach games || Entertainment🎼
Gharama (Tsh)
▪️Single, 90,000/=
▪️Double, 170,000/=
▪️Child, 70,000/=
Zinahusisha
▪️Usafiri kwenda na kurudi
▪️Nyama CHOMA
▪️Vinywaji
▪️Gharama za Boat
M-PESA LIPA NAMBA
NAMBA: 36972141
JINA: WILDLIFE AFRICA SAFARIS
Itaanzia: Mlimani City, Dar es Salaam
Mawasiliano
📱 +255753651935