Msweet JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 3,135 Reaction score 4,306 Dec 16, 2019 #2 Mambo ya kizamani sana haya. Siku hizi tunalipia wenyewe pesa za kushona nguo kwa hao mafundi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 16, 2019 #3 Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: mahondaw
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Dec 16, 2019 #4 Fundi kawa mdogo kama piriton.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Dec 16, 2019 #5 Na si ajabu ukute alimwambia mwenye nguo sipo ofisini halafu hakuaminika. Katika kuja kuhakikisha kama kweli fundi hayupo kamkuta na anaendelea kushona nguo za wateja wengine unadhani hapo kukunjwa kunazuilikaje.
Na si ajabu ukute alimwambia mwenye nguo sipo ofisini halafu hakuaminika. Katika kuja kuhakikisha kama kweli fundi hayupo kamkuta na anaendelea kushona nguo za wateja wengine unadhani hapo kukunjwa kunazuilikaje.
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,249 Reaction score 1,813 Dec 16, 2019 Thread starter #6 Smart911 said: Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: mahondaw Click to expand... Tena sanaaaaa!