Christmass ni maneno mawili yaliyounganishwa ili kupata neno moja nayo ni christ inayotokana na christ pamoja na mass ambayo ni ibada. Waliamua kuita christmass sababu hiyo ni siku ambayo ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu. Ila xmass ni neno lililoanzishwa kwa wapinga Kristu kwa mgongo wa kifupisho ikiwa na maana x ni herufi ambayo inatumika kukataa kitu fulani. Mfano nyumba ikiwekwa x maana yake haitakiwi hapo na kama ni mfatiliaji utakuta kwa sasa kuna mada mbalimbali zinzohusu uhalali wa sikukuu ya Noeli.