Christmass cake by Afrodenzi

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255
Kwa wote wanaopenda ku bake..
mimi kupika si kwa vile sana lakini ku bake na penda sana..

mwaka huu nimejaribu hii new recipe..
Cake yangu iko kwenye Oven ina umuka taaaaaratibu ..
Nikaona niwawekee hii recipe hapa kwa anaetaka kuijaribu .
Nikisha decorate nitawawekea picha..

Ingredients..

1. 250 butter
2. vikombe viwili vya sukari (nyeupe)
3. kilo moja ya matunda yaliyokaushwa (dried fruits)
4. kikombe kimoja cha Sherry ( unaweza kutumia Coruba rum au whiskey yeyote unaopenda)
5. vijiko viwili vikubwa mixed spice
6. vijiko viwili vikubwa vya baking soda
7. vijiko vi nne vikubwa golden syrup.
8. mayai manne.
9. vikombe vinne vya unga wa ngano
10. kijiko kimoja kikubwa baking powder.
11. vijiko viwili vikubwa orange zest..

jinsi ya ku bake ....

Changanya butter , sukari , matunda yaliyokaushwa, pombe uliyochagua, mixed spice,
baking soda,and golden syrup .
pika kwa dakika mbili.
( baada ya kupika huo mchanganyiko weka pembeni kwa lisaa au zaidi, acha
mchayiko u poe kabisa)
Yangu niliacha kwa saa moja na dakika 20.

Baada ya kupoa weka mayai( changanya mayai kwenye bakuli ya pembeni kwanza)
baada ya hapo weka mchanganyiko wa unga na baking soda na orange zest. ..
koroga vizuri kabisa mpaka unga wote upotee kwenye mchanganyiko ..

bake kwa masaa matatu na 125 Celsius.

mwenye swali feel free kuuliza..
lots of love AD.
 
Kikombe kizima cha pombe mama?! Watoto wanaruhusiwa kula???!

Nasubiria kuona picha...
 
Kwa recipe hii nimeweza kutengeneza keki mbili..
picha kama nilivyo waahidi ...
 

Attachments

  • IMG_20141220_152625.jpg
    69.8 KB · Views: 219
  • IMG_20141220_153307.jpg
    79.7 KB · Views: 202
  • IMG_20141220_155738.jpg
    83.4 KB · Views: 205
Kikombe kizima cha pombe mama?! Watoto wanaruhusiwa kula???!

Nasubiria kuona picha...

Kama unatengeneza ajili ya watoto ( chukua vijiko viwili vikubwa cha jam
Preferable apricot jam changanya na maji ya moto kikombe kijae weka kwenye mchanganyiko .
maana X- mass cake ina apricot ndani yake kwa hiyo haita badilisha ladha. )
Picha nimeshakuwekea.
Thanks love

Nasubiri keki nshaandaa kahawa

Haya mwaya enjoy .

Thanks much mama krareeee..

you are welcome love ..
 
Hio pombe tunaweza kubadili kwa milk?....naomba ukate kipande kidogo tuone matunda yalivyopendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…