CHRISTMASS NA MWAKA MPYA!

CHRISTMASS NA MWAKA MPYA!

MUTTAZ

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2016
Posts
296
Reaction score
237
Cheki hii reasoning ya kijana wangu wa miaka Minne!

Aliniuliza: Baba hivi Christmass na Mwaka Mpya ipi inaanza kwanza?

Wewe mwanao ndo kakuuliza hivo ungempa jibu gani tafadhali!
 
Christmas is on 25th of December and New year is on 1st of January. So following the conventional order of the months during the year, which month starts between January and December? Son, with due respect, i bet you don't mean to question the intelligence of Kijana wako wa miaka minne, i truly believe so.
 
Cheki hii reasoning ya kijana wangu wa miaka Minne!

Aliniuliza: Baba hivi Christmass na Mwaka Mpya ipi inaanza kwanza?

Wewe mwanao ndo kakuuliza hivo ungempa jibu gani tafadhali!
Maswali mengine, hayahitaji kuumiza kichwa
 
1 na 2 ipi inaanza?
Huyu inaonekana yuko vizur kinoma, n vizur kyw na mtt mwenye positive thoughts
 
You have to broaden your minds. If the question is being asked today then the answer is Xmas. If the question is asked immediately after Xmas then the answer is new year. John sirikwa
 
Ntamjibu siku ukikua utafaham...miaka minne bado sana....duuh 🙂🙂
 
Mimi nilimwambia unaanza mwaka mpya kwanza then ndo Christmass, nikampa maelezo yakutosha.
 
You have to broaden your minds. If the question is being asked today then the answer is Xmas. If the question is asked immediately after Xmas then the answer is new year. John sirikwa
Ukimjibu hivyo unajua inakaa kwa kichwa so siku akiulizwa shule tena kwenye mtihani wa darasa la pili atajibu kama baba alivyomjibu alafu akoseshwe, sio siri anaweza kuchukua maisha!
 
kalenda znatofautiana cc wapagan inaanza xmas afu ndo mwaka mpya hvhv mtasubir sana
 
Back
Top Bottom