CHRISTMASS SONG: Tujikumbushe nyimbo nzuri za kusikiliza na familia msimu huu

CHRISTMASS SONG: Tujikumbushe nyimbo nzuri za kusikiliza na familia msimu huu

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari wadau

Msimu huu wa sikukuu za kuzaliwa bwana ningependa tujikumbushe nyimbo nzuri za kusikiliza na familia

Mimi za kwangu ni hizi

1. The first Noel

2. Jingle bell rock

3. Hark the herald angel singing

4. Joy to the world

5. Seven days of christmass

6. Feliz Navidad

7. Christmass alfabet

8. endeleeni kuzishusha
 
Baba Gaston , Safari yetu Mbeya

Mwenye nayo aiweke

MTC | 101| [emoji769]
 
Daah mkuu vizuri sana kwa kuniletea hvi vitu vyangu.. Vipi hyo namba 8 ni wimbo pia..?
 
Back
Top Bottom