Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
No 6 mzur sana
Hali hiyo mara nyingi husababishwa na njaa.Nikisikia nyimbo yoyote ya Christmas nasikia kiharufu cha pilau
Merry Christmas and happy new year dear (s) 🌸🌸
Sio kweli.....basi tu ni vile najikuta nakumbuka shamrashamra za Christmas nikiwa home na familiaHali hiyo mara nyingi husababishwa na njaa.
Hahahaa! pole sana kama upo mbali na familia,Sio kweli.....basi tu ni vile najikuta nakumbuka shamrashamra za Christmas nikiwa home na familia
Have a good day too.Nahitahidi kujipoza...huku salama, uwe na asubuhi njema
Mimi mbona nipo dear my precious,vipi kwema huko lakini?nipo mpenzi wewe ndie sikuoni humu jukwaani
Huku kwema kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kweliMimi mbona nipo dear my precious,vipi kwema huko lakini?
Huyu mwamba namkubaliTUENDELEZE UZI WAKUU. Share your best Christmas songs.