Christmass usinifanyie hivyo nimebaki na 600 tu.

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu baada ya kuuza kiwanja
Wadada wamenidangia pesa zote za kiwanja cha urithi..yaani nimeuza Jana tu

Saivi nimebaki na 600 ...!
Xmas usinifanyie hivyoo jamani ntakula wapi sasa ...?

Lakini hapa nyumbani kwetu mie Pancho lazima ntakula pilau la mama siwazi sana hata kama baba akikasirika eti kisa nihame ...

Na wala sina mpango wa kuhama miaka 44 tu nihame??

Ila Xmas usinifanyie hivyo nina 600 mwenzio
 
Nina kambwa kadogo tu, ntakupa, ila kuna mnyalu kasema atafanya maarifa, hakitaharibika kitu
 
Back
Top Bottom