Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nina kambwa kadogo tu, ntakupa, ila kuna mnyalu kasema atafanya maarifa, hakitaharibika kituWakuu baada ya kuuza kiwanja
Wadada wamenidangia pesa zote za kiwanja cha urithi..yaani nimeuza Jana tu
Saivi nimebaki na 600 ...!
Xmas usinifanyie hivyoo jamani ntakula wapi sasa ...?
Lakini hapa nyumbani kwetu mie Pancho lazima ntakula pilau la mama siwazi sana hata kama baba akikasirika eti kisa nihame ...
Na wala sina mpango wa kuhama miaka 44 tu nihame??
Ila Xmas usinifanyie hivyo nina 600 mwenzio
Fanya unipe buku chaliianguUtakula ulikopeleka mboga chalaa angu
Ntashukuru sana kakaNina kambwa kadogo tu, ntakupa, ila kuna mnyalu kasema atafanya maarifa, hakitaharibika kitu
Mia sita yaani shilingi mia 6Mkuu 600 tsh or mil aujaweka tangazo lako vizuri
Poa umejuaje aseeh nilikuwa nimepanga hivyo yaaniUza na hio nyumba ya Baba yako
Mia 6 natumajeUsisahau Tuma na ya kutolea
Mia 6 natumaje