Chuchu Hans Afunguka kuachana na Ray

Najuaje shoga?nimewahi kusikia anatoka na ustadh Juma Namusoma sijui....hii siijui.
shosti alipataga mcanadian na full shobo jumlisha kutambulishwa na ndoa ulaya...
sa nashangaa kaolewa lucy komba ye yupo yupo tu!
 
sio km simpendi johari hamn nampenda sana ila mimi mwanamke yeyote anaevunja uhusiano wa mwenzie ananikwaza

Duuuh mbna kawaida 2 ingekua ndoa sawa wote walikua wanazini 2 kiroho safi ni kupokezana kijiti mana wanaume toka wachache.wavulana ndio wako wengi
 
mi simpendi na nishasema kanajishaua sana kale yani

Binamu au limbwata limechujaaa? Manake nasikia vikao vya harusi vilishaanza, mwanaume akawa hajielewi kama kachanganyikiwa Mara aseme anaoa yeye, Mara anaoa ndugu yake...hajielewi...

Nina wasiwasi bibie kakosea masharti, dawa ya kwenye maji ya kuoga kaiweka kwenye chakula...chezea mapenzi ya dawa....
 
shosti alipataga mcanadian na full shobo jumlisha kutambulishwa na ndoa ulaya...
sa nashangaa kaolewa lucy komba ye yupo yupo tu!

Hahahaaaaa,basi Johari ana gundu jamani!Lile shela la kwenye movie limemcost.
 
Duuuh mbna kawaida 2 ingekua ndoa sawa wote walikua wanazini 2 kiroho safi ni kupokezana kijiti mana wanaume toka wachache.wavulana ndio wako wengi

Kwahiyo hapo Ray unamuweka kwenye kundi gani?mwanaume au mvulana?
 
Kwahiyo hapo Ray unamuweka kwenye kundi gani?mwanaume au mvulana?

Huyu mvulana c mwanaume hivi wewe nifah toka lini m2 anajichubua ukamwita w mwanaume,huyo ana harufu y kivulana tena kwa mbali.bongo movie wanaume n wanawake huwezi kuwajua bila kutizama kwa umakini
 
Huyu mvulana c mwanaume hivi wewe nifah toka lini m2 anajichubua ukamwita w mwanaume,huyo ana harufu y kivulana tena kwa mbali.bongo movie wanaume n wanawake huwezi kuwajua bila kutizama kwa umakini

Hahahaaaaa,ni kweli aisee.Kwanza mwanamke mwenye heshima zake hawezi kutoka na mwanaume wa dizaini hiyo.
Basi huyo Chuchu anajiona kapaaata!!!
 
Kumbe wewe humpendi Johari sababu ya Mainda eeh?Leo ndio nimejua.
Johari sitomshangaa akirudiana na La Aziz wake Ray,kuna ajabu gani?Tena wafunge na ndoa kabisa tushangilie.

wanapendezeana johari na ray, chuchu jambazi yule akalee ndoa yake iliyomshinda, kama mume alimshindwa hawara atamuwezea wapi? yani kimekuwa kipole wakat kilikuwa kutwa kinajipendekeza kwa ray
 
kwani shoga ako blandina si alipata mzunguu??
ndoa bass tena?!!!

mwenzangu mi nilimsiki uwoya akisema kuwa johar atulie uko wazungu hawataki uswahili , nkajua kashapata zeru zeru sasa mpaka leo naona kimyaa sijui iliishiaga wap au ilikuwa movie
 
mwenzangu mi nilimsiki uwoya akisema kuwa johar atulie uko wazungu hawataki uswahili , nkajua kashapata zeru zeru sasa mpaka leo naona kimyaa sijui iliishiaga wap au ilikuwa movie

ndo hvyo na mwenyewe akasema ndoa itafungwa tz na huko mamtoni sasa leo ray wa nini?
 
Mshamba tu yule.Anawajua vizuri alijitoa fahamu tu.

ahahahaa hakyamungu wewe ni kiboko eti alijitoa ufahamu...ndo arudishe sasa hizo fahamu watu washapiga pumbu mbel na nyuma hawamtaki tena, kwanza ata nyama hana yule kimekaukiana kama kina ukimwi vile
 
shosti alipataga mcanadian na full shobo jumlisha kutambulishwa na ndoa ulaya...
sa nashangaa kaolewa lucy komba ye yupo yupo tu!

ahaahh, nilimsikia uwoyaakisema hvyo ila johar hakuwa kusema kuwa ana mcanada ni uwoya alikuwa anampa hongera shoga ake johar sasa sijui walikuwa wanataniana sie wambea tukayabeba kama kawaida yetu
 
gundu analo shoga yako chuchu mume kamuacha na hawara nae kamkimbia, mwambie akaoge

bora chuchu kaonja pepo haya huyo chagula ht uchunha hajapata na ana stress kweli
nifa serious ktk dunia hii omba MUNGU usimose vyote mtoto na ndoa
 
ahahahaa hakyamungu wewe ni kiboko eti alijitoa ufahamu...ndo arudishe sasa hizo fahamu watu washapiga pumbu mbel na nyuma hawamtaki tena, kwanza ata nyama hana yule kimekaukiana kama kina ukimwi vile

asa johari na chuchu nani mzuri labda..?$!
kwa ule mdomo km bakuli la matonya na unene usio na shepu au ule mkorogo km papai eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…