F Field Marshal JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 414 Reaction score 280 Jun 24, 2016 #1 Habari wajumbe Kuna mdogo wangu amepata tatizo chuchu zinamuuma hadi kutoa damu ila hajui chanzo cha tatizo Hilo,umri wake ni miaka 20 na hajawai kuzaa. Swali:Ni nini chanzo na tiba yake?
Habari wajumbe Kuna mdogo wangu amepata tatizo chuchu zinamuuma hadi kutoa damu ila hajui chanzo cha tatizo Hilo,umri wake ni miaka 20 na hajawai kuzaa. Swali:Ni nini chanzo na tiba yake?
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Jun 24, 2016 #2 Aende hospital haraka sana.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Jun 26, 2016 #3 dalili za kansa ya titi tena yenye hali mbaya.. kama hamjui namna ya kumchunguza basi aende hospital