Chuchu kuuma

Chuchu kuuma

feysher

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
2,656
Reaction score
2,771
Naombeni msaada/ushauri wa kitaalam mwenye kujua sababu za kuumwa chuchu za matiti ni zipi mzunguko wa hedhi umepita teyar wala sina mimba ila maumivu nayaskia
 
Zimeanza lini?

Kwanini unakaa muda mrefu hivi bila kufanya mapenzi?

Siku ya pili leo
Ni maamuzi tu je inaweza kuwa sababu ya haya maumivu
 
√Nimefurahi kuona unajua dalili za PMS(pre-menstrual syndrome) ambazo ni chuchu kuuma,hasira,vipele vichache usoni n.k

√Inawezekana umepata hormonal imbalance(estrogen zimeongezeka)
 
Siku ya pili leo
Ni maamuzi tu je inaweza kuwa sababu ya haya maumivu
Nikitegemea jibu liwe sijaolewa.

Hapana Sky kashakuambia jibu kule juu...kama hauna mimba, haupo kwenye siku...hormonal imbalance...pia usikute pia kuna maambukizi mapya wahi kituo cha afya..
 
Njoo nikupunguzie hormone imbalance utapona
 
Nikitegemea jibu liwe sijaolewa.

Hapana Sky kashakuambia jibu kule juu...kama hauna mimba, haupo kwenye siku...hormonal imbalance...pia usikute pia kuna maambukizi mapya wahi kituo cha afya..

Nalo ni jibu ningekua mke wa mtu sidhani kama ingekua appropriate kutoa jibu kama hilo asante kwa ushauri
 
Naombeni msaada/ushauri wa kitaalam mwenye kujua sababu za kuumwa chuchu za matiti ni zipi mzunguko wa hedhi umepita teyar wala sina mimba ila maumivu nayaskia
mzunguko wa hedhi umepita? inamaana hujaona siku zako au
 
Back
Top Bottom