Zimeanza lini?Je ni tatizo or ni kitu chakawaida kutokea
Nikitegemea jibu liwe sijaolewa.Siku ya pili leo
Ni maamuzi tu je inaweza kuwa sababu ya haya maumivu
Nikitegemea jibu liwe sijaolewa.
Hapana Sky kashakuambia jibu kule juu...kama hauna mimba, haupo kwenye siku...hormonal imbalance...pia usikute pia kuna maambukizi mapya wahi kituo cha afya..
mzunguko wa hedhi umepita? inamaana hujaona siku zako auNaombeni msaada/ushauri wa kitaalam mwenye kujua sababu za kuumwa chuchu za matiti ni zipi mzunguko wa hedhi umepita teyar wala sina mimba ila maumivu nayaskia
ilivyo kauka tu umeshakutana na mwenza au bf wako kwa siku zote au kati ya siku zote hizoNimeona nimemaliza siku 4 zilizopita
Mwaka jana
Asante kwa kugundua tatizo