Chuchu kuwasha

isombwe

Member
Joined
May 10, 2015
Posts
89
Reaction score
8
Wataalam naomba mnisaidie,

Ninaishi mbali na mume wangu, tangu aje likizo huku niliko ni mwezi sasa. Tatizo nililo nalo: kwa takriban wiki ya pili sasa chuchu zangu zinawasha sana.

Tatizo laweza kuwa nini?
 
aiseewee.......rahaaaaaaa.......utamu!!! ze mtindizzz
 
Wataalam naomba mnisaidie, ninaishi mbali na mume wangu tangu aje likizo huku niliko ni mwezi sasa, tatizo nililonalo kwa takriban wiki ya pili sasa chuchu zangu zinawasha sana. Tatizo laweza kuwa nini?

bwana wako huko alikotoka hajaacha kweli shamba la pilipili?
 
Angalia godoro unalolalia labda lina kunguni.
 
Wataalam naomba mnisaidie, ninaishi mbali na mume wangu tangu aje likizo huku niliko ni mwezi sasa, tatizo nililonalo kwa takriban wiki ya pili sasa chuchu zangu zinawasha sana. Tatizo laweza kuwa nini?

lete nizinyonye
 
ni upungufu wa mate ktk chuchu......!
 
1.Angalia maji unayotumia kuoga yaweza kuwa machafu, na si chuchu tu kama tatzo likiendelea utawashwa pia sehemu za siri.

2. Chunguza wakati wa ku~sex na jamaa je .chuchu hutumika? Kwa mfano kama mume hulamba chuchu je mdomo wake unapgwa mswaki? Au huwa mmetoka kula?

3. Je? Chuchu zinawasha kiasi cha kufikia hatua ya kuzifikicha? Na je ile duara nyeusi ina ugumu?

4. Muwasho huo unauhisi kwa ndani au nje ya chuchu?

5. Je? Katika romance unanyonywa/kulambwa matiti na je? Kama ndiyo ,Ni mtu mmoja tu anayefanya hivyo?

6. Je ww ni mjamzito? Au umeachisha mtoto kunyonya kwa kipindi cha karibuni?

Tujuze tujue tatzo...

Jambo la kufanya osha kila siku kwa maji ya vugu vugu na uvae blazia safi kila wakati..
 
Wataalam naomba mnisaidie, ninaishi mbali na mume wangu tangu aje likizo huku niliko ni mwezi sasa, tatizo nililonalo kwa takriban wiki ya pili sasa chuchu zangu zinawasha sana. Tatizo laweza kuwa nini?

habari za mume zinahusikaje hapa? ... maana ni mwezi hamjaonana lakini chuchu ni wiki ya pili zinawasha..

haya tupotezee hayo..
vipi ni mjamzito? au unanyonyesha/ulitakiwa uwe unanyonyesha? je hii ndio mara ya kwanza au imewahi kutokea kabla?

pia waweza kuchunguza kitu ulichobadilisha kabla na baada ya hiyo hali kuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…