naomba mnisaidie nifanye nin ili chuchu zisiume.
nina mtoto mchanga wa wiki moja nilijifungua kwa operation, sasa nilipojifungua maziwa yalikuwa sio mengi, mwanangu akawa ananyonya hivyo hivyo hali hii imepelekea chuchu kuuma. yaani zinauma sana hadi huwa nawaza sana ninapotaka kumnyonyesha.
naomben mnijuze nitumie nin chuchu zangu zipone?

Angel Nylon njoo umshauri mzazi.
hahaa I thought you are the specialist wa female breasts?
ungesema hujajifungua hii thread sasa hivi ingekuwa page ya 12
ha ha ha ha ha mkuu umenifurahisha sana!!manyang'au!!Hahaha kweli manake kichwa cha habari kinavutia manyang'au wakiingia wanakuta ni mzazi wanaufyata!
views 448 replies 18 manyang'au yanaishia kuchungulia hata ushauri wa pole tu hamna!!Hahaha kweli manake kichwa cha habari kinavutia manyang'au wakiingia wanakuta ni mzazi wanaufyata!