Chuchu zinauma sana, nifanyaje?

Mpe baba wa mtoto anyonye!

 
Pole...kwa mimi nilikua najikanda maji ya uvuguvugu + kumnyonyesha mtoto..ila hapo wakat wa kumnyonyesha uvumilie sana hata chozi laweza kukudondoka!!
 
Ni kawaida kwa mtoto wa kwanza...zinauma sana sometimes unahisi kama zimechubuka
Mpe hivo hivo zitapoa tu....ni kwasababu pia vitundu vya kupitisha maziwa vinafunguka mtoto anapokua anavuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…