tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
au sioChui huwa hapendi watu kiherehere kujifanya unamjua sana anakurukia. Chui dawa yake ni kuzuga humuoni na huna time naye
Umewahi Kufika Mwanza ?Mwanza ni pori lililo changamka 😀
Mlango mmoja kufanya nini ? niko hapa kirumba...............Umewahi Kufika Mwanza ?
Njoo Mlango Mmoja, Nata, Ccm Kirumba
Halafu Urudi Tena