Chuji/kaseja kurudishwa kwao stars suluhisho la nidhamu??

Chuji/kaseja kurudishwa kwao stars suluhisho la nidhamu??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Yawezekana nikawa katika wachache wapenda nidhamu tanzania
lengo langu kuu ni kujiuliza kabla ya kuwarudisha kaseja na chuji
tumejua sababu zilizowatoa..na kama ndio suluhisho lake nini???
je kuwarudisha ni suluhisho la kuleta nidhamu taifastars???????/
mh TENGA na wengine kama mko jamvini naomba msaada..naamaanisha
kwamba leo hii tunamrudisha chuji kwa kukosa nidhamu na baada ya wiki mbili tunasikia
kocha kamfukuza kaseja ama chuji tena je tutakuwa tumesawasaidia
ama kuwaharibu...ni vyema kurudi stars ila ningeomba wajulishwe sababu za wao kuwafukuza
maana wengi walihisi Maximo ana chuki nao binafsi kumbe sio ila nia ni kuleta nidhamu uwanjani kumbukeni yaliowakuta uingereza south na wakiwa ndani ya rooney na wengineo..tujiulize france na matatizo yao waliishia wapi south ...eeehh
anyway nidhamu ni muhimu ndugu zangu mliorudishwa jueni wamewarudisha sababu ya kutaka mjirekebishe na si kwamba ni mastaa kuliko wengine..tutashukuru kuona mkifanya ama kuifanyia vyema tanzania

kila la kheri
 
Tatizo wanakuzwa vichwa na washabiki, nafikiri tuwape nafasi nyingine tusiwe rigid sana maana wahenga walisema kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa, wakirudia tena nadhani tuwafukuze forever. Ni mtazamo tu.
 
Nidhamu na hasira ni vitu tofauti. Mbona kaseja ana nidhamu akiwa simba SC?
 
Back
Top Bottom