Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Nani kawadanganya?Wangapi wameshindwa hata soka la uarabuni japo si gumu kama ulaya? Msijifariji enyi wapenzi wa yanga. Huyo Chuji kashindwa kuonesha kiwango kule Cote d'voire.Au ni majina ya timu yamefanana tu?
...Hakuna cha kumpa baraka aende akakaze msuli apate nafasi apige soka kwa faida yake na ndugu zake. Ulisikia wapi midomo mingi ikitoa baraka unafanikiwa??Mkuu Isaac Chuji hakucheza mechi yoyote ile Cote d'voire, uwezo wa soka anao. Hili ndio tatizo letu watanzania bado tunasema hatuwezi, tutaweza lini????? Mpeni baraka kijana akajaribu bahati yake, kama wataridhika nae watamchukua kama hawatamkubali atarudi kwetu kupiga makelele na akina Maximo.
Mijitu yenye Roho Mbaya Na Roho Za Kwanini Utaijuwa Tu Kuanzia Hapa Katika Soka. Sasa Soka Tu Watu Washakuwa Mahasidi Kisa Nini?....Eti Ni Mchezaji Wa Zamani Wa simba Na Ni Mchezaji Nyota Tegemo wa Yanga Loh!!! Ndio Maana Hatuendelei Tutabaki Kudanganyana kuwa Kuna Mchezaji wet anaitwa machupi Anacheza Denmark ktk Mtando hutapati source......
Kibonde hapo umemaliza ila umesahau pia bangi!