Chuki, Aibu, Laana; Dunia inafikia mwisho

nao hao walikuwa warangi?
 
:hail:😛ray2::A S-confused1::doh:
 
mie siamini kama ni kweli imetokea...
inafundisha na kuonya lakini...!
 
Hii ni story ya kutungwa. Inaeleza mazingira mawili. Moja la nyumbani ambapo mtoa mada hawezi kuwa ameliona maana anasimulia kama alikuwepo lakini yeye alikuwa bar. Pia anaunganisha mbeleni na kuonyesha ile mikikimiki imetokea hotelini. Hebu waJF someni tena na tena ndio mtakapotambua utunzi wa huyu bwana.
 
Tuambie ni bar gani walau kwa jina maana story ya kutunga hiyo!
 
Hahaaaa mpwa, hua sina muda wa kukaa na kutunga stori, kaumri kangu na majukumu yangu hayaniruhusu, nimeelezea kuwa mama baada ya kuudhika baada ya kuona kitendo kile ndipo akaanza kuelezea yaliyokuwa yametokea, aaha, nimefurahi umeangalia kwa jicho la ku-criticise ukasahau realities, by the way, usijiaminishe kuwa hayawezi kua, yapo na yanatokea, ndio maana yanaitwa maajabu ya MUNGU hasa siku Mungu akitaka kukuumbua.

Haya mpwa, mie naendelea na job hapa ila habari ndio hiyo
 
sikuweza kujua lakini inaonekana ni familia yenye uwezo flani ivi





Kama ni watu wenye hela hela fulani basi wana Uzungu uzungu fulani hapo siwalaumu. unajua watu walio ishi huko kwa wenzetu maadili kwao sio issue. Niliwahi shuhudi Mtu anatembea na Mama Mkwe wake kwa raha zake kabisa. ( Lakini hao ni wazungu! kwetu huku ni noma)
 
Bado najiuliza alisimamishaje ndude..?..sababu lazima utamani..kwa hiyo alimtamani mamaye..? Au hakuwa mamake wa kumzaa.?
Haijanikaa akilini...
 
Abomination! Ee God forbid. Sorry kama si wambulu wenye lango la pepo wa ngono kwa ndugu sijui. Mungu epushia mbali laana hiyo ya kizazi.
 
safi sana!!!! baba kamwaga ugali mtoto w kiume kachukua mboga kanywa yote ........
 
Abomination! Ee God forbid. Sorry kama si wambulu wenye lango la pepo wa ngono kwa ndugu sijui. Mungu epushia mbali laana hiyo ya kizazi.

ndugu ningependa unitake radhi japo tamthilia yenyewe hainiingii akilini....lakini kwa nini useme wambulu......ina maana sisi ndio tunaopenda hako kamchezo (japo ni kazuri sikatai) kuliko makabila yote....puliiiz
 
Jamani ni kweli kuna baadhi ya wambulu ni wahuni sana ila siyo wote kuna wenye heshima zao tena wa maana na zaidi sana nimewahi kukaa maeneo ya wambulu hawana tabia ya kutembea na watoto wao au wakwe.

Ila kuna watu ambao mnawanyima haki zao ambao nimewahi kukaa nao pia na nimesikia kashfa zao za kuwasha masikio wanatembea kaka na dada na mama na mtoto wake baba na binti mpaka baba na mke wa mtoto wake na mama na mume wa binti yake hasa kwa baadhi ya wamarangu na warombo wache . Wanakera na ikitokea hivyo huwa hawaoni aibu wanakausha utadhani ni kitu cha kawaida na kama hamuamini wachunguzeni watu wa kwenye hilo tukio mtarudisha majibu ndani
 
Inasikitisha sana lakini kwa upande mwingine ndo hivyo walikua wanakula faida( Watoto) huku mitaji ikitunzwa( Wazazi) (JOKE). Hii inaonyesha kuwa mie sina dhambi kama hao uliowaongela...Mungu kaandika dhambi zao kwenye Silver plates hata siku wakitubu watakuwa wanazing'arisha na zitakua zinaonekana hata from a long distance......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…