comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Hatua ya serikali kutoza tozo kama njia ya kuongeza mapato yake ili kutoa huduma kwa wananchi ambao wanadai hiki na kile, imepokelewa kwa kiasi kikubwa kwa kukataliwa ikiwemo na wabubge wenyewe waliopitisha sheria hizo.
Wakati upingaji huu unatokoea na kuendelea, wanaopinga wanakubali tozo toka kwa wengine wote isipokuwa serikali.
Mfano watu wa benki wanatutoza hata pale tunapowauliza tuna bakaa kiasi gani kwenye akaunti zetu, wanatutuza tozo tunapotoa hela yetu tuliyowapa waitunze na wanawakopesha watu na kulipwa riba kubwa.
Haya yote tunayakubali ila kwa serikali imekuwa dhambi. Jibu pekee la kupinga tozo ni chuki kwa serikali. KWA HIYO MPINGA TOZO YEYOTE NI MPINGA SERIKALI.