Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Najaribu kuangalia kwa mrejeo wa kumbukumbu za historia ya Dunia, hii chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi imekuwepo toka enzi na enzi lakini haijawahi kuwa na mafanikio chanya au kuna tofauti ndogo kati ya wivu na chuki au chuki na wivu.
Nazungumzia wivu wa kitamaduni/ wivu wa kisiasa/ wivu wa kidini au wivu wa kimatabaka, mbona jamii mbili hizi kila zinapokumbana na chuki na misukosuko ndio zinazidi kuimarika?
Nazungumzia wivu wa kitamaduni/ wivu wa kisiasa/ wivu wa kidini au wivu wa kimatabaka, mbona jamii mbili hizi kila zinapokumbana na chuki na misukosuko ndio zinazidi kuimarika?