Nadhani itakua wiki moja imepita sasa tangu niulize kwenye thread fulani kama inawezekana mtu akapata adui hapa JF kwasababu binafsi bado sijaona uwezekano wa kumchukia mtu ambae sijui yukoje in reality na wala hajanifanyia lolote baya hapa mtandaoni.
Naelewa kwamba huku mitaani hua inatokea mtu , hata ndugu yako au rafiki akawa anakuchukia bila sababu maalum.Yani unakuwa hujamfanyia lolote baya, tena inawezekana ukawa mtu wa kumsupport na kumsaidia sana.Chuki ya namna hii naamini mara nyingi hua inasababishwa na wivu,yani yule mwenye chuki anatamani alichonacho mwenzake kingekua chake (pesa,mpenzi mzuri, familia inayompenda, marafiki wanaomjali, kazi nzuri n.k). Na mara nyingi hali hii hua inapelekea hao wenye wivu kutafuta namna ya kumvurugia huyo mwingine hata kwa kusambaza maneno yasiyo na ukweli.Ila sasa naomba kuuliza, sehemu kama hapa JF, sehenu ambayo wengi hatufahamiani inakuaje mtu anakua na chuki tena kali na mwenzake? Tatizo ni nini? LIKE anazopokea? Thread anazoandika? Watu anaointeract nao jamvini? Muda anaospend online? Namna anayoandika? Mambo anayoonekana kujua? Kama jibu ni moja ya hayo hapo juu nini kinakusumbua wakati hatujuani hivyo na wewe unaweza ukatumia hata google kuandika kitu kizuri kikakubalika bila yeyote kujua hazikua juhudi zako mwenyewe?
Jumanne njema.
Asante Lizzy Kwa kututakia Jumanne njema, na mimi nakutakia Jumma tano njema!
Nilisubiri mkalale wote ndio nije nijibu ili msinikatikizi katika 'reasoned argument' yangu.
🙂
Nimesoma maswali yako na nadhani jibu sio rahisi kama unavo fikiria. JS ni community with its dynamics. Na moja ya hizo dynamics ni POWER. Sababu namna za ku-interact ziko limited, tunakua pia limited katika namna yetu ya kutumia na kuonesha power. Huhwezi tumia powe unayo nje ya JF sababu it is not relevant here (how do we know?).
vitu vinavyo leta power katika community ya JF ni vitu tunavyo weza kuona: avatars, ID,Likes, Posts, reputation power, the ability to get people to post after you, to quote you, to t
alk about you etc. Kuna ambavyo tunaweza kubadilisha (avatar, started threads, started posts, likes given etc) na vingine hatuwezi (likes received, pages of threads started, visit on your home page etc)
How is that a power? sababu ni nyingi ila cha msingi ni kwamba people need to differenciate themselves. Hakuna member anae taka kua kama member mngine, kila mtu ni separate individual. na kila mtu anataka kua as good as possible. na vitu vinakufanya kua good ni hivyo vinavyo onekana. Ukisha weka hiyo kua 'good' na kua 'bad', tayari umeleta kua 'better' na kua 'worse'.
Kwangu mimi ku-interact na member (on post and PM) ni muhimu. Kwako wewe kuchangia thread kwa maneno ya busara ni muhimu. kwa mngine kua na avatar nzuri ni muhimu, or kupata likes etc. kwa wengi hapa ni mchanganyiko wa vitu vingi. na hivyo vitu ndio vinamfanya mtu kua better au worse "than...". mimi najicompare na mi mwenyewe. I am better than I was when I joined, au I am worse than I was in my last post etc. ila inaonekana kuna watu wanajicompare na wengine humu ndani ya hii community yetu ya JF: I have started less post than Lizzy, my avatar receives less complement that Afrodenzi, my personality is not as sexy as preta au my political knoweledge is nowhere compared to faiza foxy.
Kwa vile sisi ni binadamu tunakua na reaction tatu: indifference, kufurahia au kuchukia (this late hasa kwa vitu hatuwezi badilisha)
Sasa in the case ulio toa tunaweza kuangalia: what is AshaDii power? among other tunaweza kumention kua ameanzisha threads nyingi, na nyingi zilipendwa, anajua ku-keep attention ya members kwenye threads anazo changia, posts zake zina pendwa na wengi, and last but not least, she 'is seen to be' a key figure in MMU na Chit Chat sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuchangia na kubadilisha mweliekeo wa majadiliano. so in that regard AshaDii holds some form of JF.
From there we have some hints on the mobiles of our 'suspect', kazi kwako kujenga "profile' na ikibidi jenga a 'sketch'...