Chuki na unafiki....

Umesahau kimoja we mrusi....

AshaDii ni shem langu la ukweli
Na kuwa Shem wa ODM ni turufu na tiketi ya kwenda mbinguni
Sasa mijitu inamwonea wivu shem wangu........
Kwa taarifa yao atakwenda mbinguni mara tatu!
Nimemaliza.
 
Watu wanapenda kuamini na kupeleka katika maisha yao mambo ya humu mitandaoni.

Maisha hayapo kiivo!!
Ngoja nipande daladala hapa niende zangu Ferry kuwahi samaki wa gengeni kwangu.
 


Asante.... Umenena haswaaa..:yo::yo::yo:
 
Watu wanapenda kuamini na kupeleka katika maisha yao mambo ya humu mitandaoni.

Maisha hayapo kiivo!!
Ngoja nipande daladala hapa niende zangu Ferry kuwahi samaki wa gengeni kwangu.
Niazime binduki yako nimpopoe mtu macho......... kuna mtu anajifanya ananijua wakati mie simjui.
Afu upitie Zero pub pale mwambie Eliza akupe bia mbili baridi na kokoto...... bili atalipa ODM.
 
Nizime binduki yako nimpopoe mtu macho......... kuna mtu anajifanya ananijua wakati mie simjui.
Afu upitie Zero pub pale mwambie Eliza akupe bia mbili baridi na kokoto...... bili atalipa ODM.
Sinywi biya, nakunywa valuu za pakiti.
Hii makitu ni kwa ajili ya kuvunja miguu ya wanawake wa JF wanaomtongoza mme wangu.

Kuna mmoja kazi yake ku-flirt na mme wangu kwenye PM, sijui sijui kwa nini kaolewa kama kutwa kuchwa yupo busy mtandaoni anacheka cheka na mume wangu!!
:boxing:
 
Kama kuna watu wanachukiana iko kazi sikujui ,hunijui why nikuchukie .. baada ya kusoma post yakondo najaribu kuwaza hii issue ..
 
Khee! Usinambie una pasiwedi ya mmeo....... Angalia isije ikawa mmeo ndo anachombeza.
Aisee valuu ya pakiti na hii mvua........ ngoja nichukue sick sheet! khaa!
Nipe hiyo binduki bana..........kuna jamaa ananletea wivu kwa baamedi pale Tongori. Mi taka peleka yeye kuzimu kulaaleki. Yeye si wake na mimi si wangu, chuki ya nini kati yangu mimi na yeye?
 

washangaa nini sasa!!
 
Chuki ndani ya JF!! Sawa kila mtu na mtazamo wake, sioni sababu ya kumchukia mtu, kama UNABOREKA na mtu si umpotezee tu, kwani lazima umjibu? au lazima kuzoeana? Unawezaje kumchukia mtu usiyefahamiana naye? Kwasababu tu ya kupishana mtazamo? Acheni hizo Jamani.
 
binadamu tunatofautiana, unaweza kumchukia mtu hata tu kwa kuliona au kulisikia jina lake. haya mambo yapo usifadhaike sana
 
Kweli mimi hapa sijaelewa kitu naona mauza uza tu. Sikujua chini ya kapeti kuna vitu vya aina hii.

Am i too old to notice this? Naona vyote vilifanyika darasa la 3.
 
Suck it up maana Nakujua, Unanijua , siachani na wewe.

Inashangaza kwakweli. Watu wa huku mtaani naweza jaribu kuwaelewa ila huku mtandaoni ambapo kila mtu anaingia kutokana na uwezo wa bandwith yake,sielewi kabisa.

Lizzy mamaa potezea usiyabebe utabeba managapi...hata sielewi kinachoendela japo sihitaji ila yasikuumize kichwa bana songesha maisha ..umesahau kusamehe mammy!!
 
By the way mm nawapenda wote napenda vile mnavyoelezea thread zenu hata mtu awe kilaza aje lazima aelewe..msichokozane napendaga mawazo yenu kwa ujumla nawaombea amani na upendo wa Bwana uwatembelee(cwajui /hamnijui pia)
 
nashkuru kwa maelezo yako
ajabu watu na roho zao na akili zao
i hope ASHADII hajakuwa discouraged kwa ujinga wa watu au mtu wa ovyo ovyo


I do break Down... But I NEVER Break down that easily Boss,
Nguvu ya ziada yahitajika kwa Mlengwa to Break me down hata
kama ni briefly.... Hivo I am good, Just Hectically busy....

You know my girl, pale pale tu thread yake alisema "bring it on Lipualipua, I am here to stay!"


hahahaha.... Me Love this post Alter....
 
Umesahau kimoja we mrusi....

AshaDii ni shem langu la ukweli
Na kuwa Shem wa ODM ni turufu na tiketi ya kwenda mbinguni
Sasa mijitu inamwonea wivu shem wangu........
Kwa taarifa yao atakwenda mbinguni mara tatu!
Nimemaliza.


Copied and Filed! Source: ODM

Way to go Darling Shem... ADI is proud that ODM is there for her....
 



Hii thread umepost... Ni ya Msingi saaana (at least to me and it seems to you too) BUT nisha observe kupata jibu ni kazi saana. Thou nimependa saana Maelezo ya Roulette bado am sceptic as in OK hating... BUT to that Extent? Really? Dah! Sina la kuongezea kwa kweli....
 
Pole yamekukuta aee.
we unachukiwa hapa sababu ya ubishi wako..
utakoma trip hii.. Jifunze kuzoea bora mtu anichukie kuliko upendo wa ki una nafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…