Chuki na wivu ni sumu kali kwenye mwili wa binadamu kuliko sumu ya nyoka

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Binadamu tunashauriwa kuepuka chuki na wivu, kwani imefahamika kuwa, tabia ya kujenga chuki na wivu juu ya binadamu mwenzako ni sumu kali kwenye mwili wako ambayo inaharibu viungo kama, moyo, figo, mapafu na hivyo husababisha kisukari, presha/ugonjwa wa moyo na hatimaye kifo.

Inashauriwa kuepuka tabia hiyo ili kulinda afya zetu.
 
Wivu mzuri vs Wivu mbaya

Mi nawaonea wivu walima korosho wanaoweza safirisha kwenda marekani, manake leo hii asubuhi mesikia kilo moja ya korosho zilizobanguliwa ni sh 90,000.
 
Fact check Mkuu umelishwa Matango pori😂🤣

US cashew nuts wholesale price. In 2022, the approximate price range for US Cashew Nuts is between US$ 7.44 and US$ 8.26 per kilogram or between US$ 3.37 and US$ 3.75 per pound(lb). The price in Euro is EUR 7.44 per kg. The average price for a tonne is US$ 7439.58 in New York and Washington.

Selina Wamucii | Global Food and Agriculture Marketplace › ca.

Cashew Nuts price in US - 2022 prices and charts - Selina Wamucii
 
Fact check Mkuu umelishwa Matango pori😂🤣

US cashew nuts wholesale price. In 2022, the approximate price range for US Cashew Nuts is between US$ 7.44 and US$ 8.26 per kilogram or between US$ 3.37 and US$ 3.75 per pound(lb). The price in Euro is EUR 7.44 per kg. The average price for a tonne is US$ 7439.58 in New York and Washington.
Selina Wamucii | Global Food and Agriculture Marketplace › ca...
Cashew Nuts price in US - 2022 prices and charts - Selina Wamucii
Yule naibu waziri kadanganya uma, ajitokeze akanushe ama aseme wapi soko lilipoo
 
Binadamu tunashauriwa kuepuka chuki na wivu, kwani imefahamika kuwa, tabia ya kujenga chuki na wivu juu ya binadamu mwenzako ni sumu kali kwenye mwili wako ambayo inaharibu viungo kama, moyo, figo, mapafu na hivyo husababisha kisukari, presha/ugonjwa wa moyo na hatimaye kifo.

Inashauriwa kuepuka tabia hiyo ili kulinda afya zetu.
Well said mkuu👏👏
 
Wivu mzuri vs Wivu mbaya

Mi nawaonea wivu walima korosho wanaoweza safirisha kwenda marekani, manake leo hii asubuhi mesikia kilo moja ya korosho zilizobanguliwa ni sh 90,000.

Yaani unasikiliza maneno ya bashe na wenzake? Biashara haipo hivo
 
Back
Top Bottom