Fact check Mkuu umelishwa Matango pori😂🤣Wivu mzuri vs Wivu mbaya
Mi nawaonea wivu walima korosho wanaoweza safirisha kwenda marekani, manake leo hii asubuhi mesikia kilo moja ya korosho zilizobanguliwa ni sh 90,000.
Yule naibu waziri kadanganya uma, ajitokeze akanushe ama aseme wapi soko lilipooFact check Mkuu umelishwa Matango pori😂🤣
US cashew nuts wholesale price. In 2022, the approximate price range for US Cashew Nuts is between US$ 7.44 and US$ 8.26 per kilogram or between US$ 3.37 and US$ 3.75 per pound(lb). The price in Euro is EUR 7.44 per kg. The average price for a tonne is US$ 7439.58 in New York and Washington.
Selina Wamucii | Global Food and Agriculture Marketplace › ca...
Cashew Nuts price in US - 2022 prices and charts - Selina Wamucii
Well said mkuu👏👏Binadamu tunashauriwa kuepuka chuki na wivu, kwani imefahamika kuwa, tabia ya kujenga chuki na wivu juu ya binadamu mwenzako ni sumu kali kwenye mwili wako ambayo inaharibu viungo kama, moyo, figo, mapafu na hivyo husababisha kisukari, presha/ugonjwa wa moyo na hatimaye kifo.
Inashauriwa kuepuka tabia hiyo ili kulinda afya zetu.
Wivu mzuri vs Wivu mbaya
Mi nawaonea wivu walima korosho wanaoweza safirisha kwenda marekani, manake leo hii asubuhi mesikia kilo moja ya korosho zilizobanguliwa ni sh 90,000.
Lofa yule.Yule naibu waziri kadanganya uma, ajitokeze akanushe ama aseme wapi soko lilipoo
Hata Heart attack.Kweli kabisa. Hasira inaleta stomach or gastric ulcers, yaani inaongeza acid na kusababisha tundu kwenye tumbo
Worry,anger zinaleta gastric disturbance na headache.Hata Heart attack.
And even Heart attack.Worry,anger zinaleta gastric disturbance na headache.