abdi ally
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,563
- 2,163
Siku zote zawad pekeee kwa wenye roho mbaya Ni Mungu kuonyesha baraka tele kwa wale wafanyiwao husda.
Ukiona mtu analichukia taifa lake hata katika familia,ukoo,na marafik hufanya wivu,na husda na roho mbaya pia.
Wa tz tuko imara kwa timu yetu na tunainga mkono kwa matokeo yote Ni timu yetu.
Wale waichukiayo taifa stars nyuso zao zitakuwa na furaha tu.Mungu yu nasi viva Tanzania viva tanzania