Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

Khaaaa! Toba! toba!, toba yarabi huku sasa ndio kunyweshwa maji kwa Chekecheke.
 
Mama Diamond ni mswahili mno, yaani ana vijitabia vya kishangingi kama wasichana wake.
 
Reactions: ovi
una akili sana
 
Reactions: ovi
akili za kijinga hizi...aolewe yeye huyo mama sasa na mwanae
 
Tatizo huwa ni umasikini na utegemezi
Namshukuru Mungu kwetu twajiweza kiasi hakuna anaenitegemea zaidi ya mke wangu
Nyumba ya wazazi kubwa kuliko tunayoishi na mke wangu na pia mkoa mmoja tena wao ushuani hivyo hawatatusumbua kuja ishi mashenzini
 
Mzazi mwenyewe malaya
 
Mhaya on his best
 
Duh sijui inakuuma nini kuandika haya...shame on you for calling a blessed woman and mother eti baby....
 
mama Dai kaenda kigoma eti. atahangaika sana tu. chezeya mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…