Chuki zimemwondoa Joseverest Jamiiforums.Mimi nakutana nazo napambana zinanitia nguvu

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
huyu ni mmoja ya jamaa zangu wa karibu sana humu JF Joseverest ni kitambo sana haonekani na kitu ambacho kimeleta waswas sana kwa sisi rafiki zake. maana Mtaani ( Jamiiforums) haonekani. mi nmejitahidi kumtafuta kila kijiwe humu ndani hapatikani. hali imekuwa ni ya mashaka sana humu ndani. watu wanajiuliza jamaa yetu huyu atakuwa wapi maana alikuwa mtu mmoja active sana.kila mtu anakumbuka jinsi ambavyo jamaa alikuwa peace na wa kwanza kutoa comment.

najua kuna kipindi watu walikuwa wakimchukia sana na kumsema vibaya kutokana na kuwa a good person.just like some people with gudumephobia kwa sasa. lakini huyu jamaa atabaki kuwa na nafasi yake katika mitaa yetu humu ndani na maskani mbalimbali kwa jinsi ambavyo hakuwa na ubaguzi ,ugomvi na mtu.siku zote alihakikisha anakuwa wa kwanza kupost kitu. tushirikiane kumtafuta huyu jamaa hata ikiwezekana kushirikisha polisi wa kimataifa na wataalamu mbalimbali.

[HASHTAG]#BRING[/HASHTAG] BACK JOSEVEREST
 
fee2b918a8ab94ff3fe59244f0897b4f.jpg
 
Mara paap Brevis nyeupe
 
Gujike leo hujapata msichana wa Kumtafuna Ofisini kwenu..?

Nataka nije nami nichukue jimama limoja hapo ofisini..
 
tuheshimiane dada... mbona heshima ni kitu cha bure tu? si lazima uoneshe kuwa una akili ya kitoto.
Gujike leo hujapata msichana wa Kumtafuna Ofisini kwenu..?

Nataka nije nami nichukue jimama limoja hapo ofisini..
 
huyu ni mmoja ya jamaa zangu wa karibu sana humu JF Joseverest ni kitambo sana haonekani na kitu ambacho kimeleta waswas sana kwa sisi rafiki zake. maana Mtaani ( Jamiiforums) haonekani. mi nmejitahidi kumtafuta kila kijiwe humu ndani hapatikani. hali imekuwa ni ya mashaka sana humu ndani. watu wanajiuliza jamaa yetu huyu atakuwa wapi maana alikuwa mtu mmoja active sana.kila mtu anakumbuka jinsi ambavyo jamaa alikuwa peace na wa kwanza kutoa comment.

najua kuna kipindi watu walikuwa wakimchukia sana na kumsema vibaya kutokana na kuwa a good person.just like some people with gudumephobia kwa sasa. lakini huyu jamaa atabaki kuwa na nafasi yake katika mitaa yetu humu ndani na maskani mbalimbali kwa jinsi ambavyo hakuwa na ubaguzi ,ugomvi na mtu.siku zote alihakikisha anakuwa wa kwanza kupost kitu. tushirikiane kumtafuta huyu jamaa hata ikiwezekana kushirikisha polisi wa kimataifa na wataalamu mbalimbali.

[HASHTAG]#BRING[/HASHTAG] BACK JOSEVEREST
unaweza jitoa social media lakini cyo JF
 
Back
Top Bottom