Leo hujakamata mtu wa kumla?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nimejikuta nacheka dah!Leo hujakamata mtu wa kumla?
Dah...[emoji87]hajawahi kuondoka mtu ila nimeshuhudia wengi wakibadili ID na kujipa promo
huyu ni mmoja ya jamaa zangu wa karibu sana humu JF Joseverest ni kitambo sana haonekani na kitu ambacho kimeleta waswas sana kwa sisi rafiki zake. maana Mtaani ( Jamiiforums) haonekani. mi nmejitahidi kumtafuta kila kijiwe humu ndani hapatikani. hali imekuwa ni ya mashaka sana humu ndani. watu wanajiuliza jamaa yetu huyu atakuwa wapi maana alikuwa mtu mmoja active sana.kila mtu anakumbuka jinsi ambavyo jamaa alikuwa peace na wa kwanza kutoa comment.
najua kuna kipindi watu walikuwa wakimchukia sana na kumsema vibaya kutokana na kuwa a good person.just like some people with gudumephobia kwa sasa. lakini huyu jamaa atabaki kuwa na nafasi yake katika mitaa yetu humu ndani na maskani mbalimbali kwa jinsi ambavyo hakuwa na ubaguzi ,ugomvi na mtu.siku zote alihakikisha anakuwa wa kwanza kupost kitu. tushirikiane kumtafuta huyu jamaa hata ikiwezekana kushirikisha polisi wa kimataifa na wataalamu mbalimbali.
[HASHTAG]#BRING[/HASHTAG] BACK JOSEVEREST
Rip....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]R.I.P jose
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo hujakamata mtu wa kumla?
huyu ni mmoja ya jamaa zangu wa karibu sana humu JF Joseverest ni kitambo sana haonekani na kitu ambacho kimeleta waswas sana kwa sisi rafiki zake. maana Mtaani ( Jamiiforums) haonekani. mi nmejitahidi kumtafuta kila kijiwe humu ndani hapatikani. hali imekuwa ni ya mashaka sana humu ndani. watu wanajiuliza jamaa yetu huyu atakuwa wapi maana alikuwa mtu mmoja active sana.kila mtu anakumbuka jinsi ambavyo jamaa alikuwa peace na wa kwanza kutoa comment.
najua kuna kipindi watu walikuwa wakimchukia sana na kumsema vibaya kutokana na kuwa a good person.just like some people with gudumephobia kwa sasa. lakini huyu jamaa atabaki kuwa na nafasi yake katika mitaa yetu humu ndani na maskani mbalimbali kwa jinsi ambavyo hakuwa na ubaguzi ,ugomvi na mtu.siku zote alihakikisha anakuwa wa kwanza kupost kitu. tushirikiane kumtafuta huyu jamaa hata ikiwezekana kushirikisha polisi wa kimataifa na wataalamu mbalimbali.
[HASHTAG]#BRING[/HASHTAG] BACK JOSEVEREST
Mshikaki??kuna jamaa alisema mshkaki kadisco UDOM