Chuki zinazochagizwa na ukosefu wa maarifa, umadhubuti wa akili na ukomavu wa fikra ni kichekesho

Chuki zinazochagizwa na ukosefu wa maarifa, umadhubuti wa akili na ukomavu wa fikra ni kichekesho

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Habarini nyote.

Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho.

Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita kwenye maboresho.

Tuukimbie umaskini wa akili wenye kiota kiitwacho chuki na wivu wa kishamba hasa katika uwanda wa maoni na michango huru ya fikra.

Nawasilisha.

Wadiz a.k.a Baharia
 
Back
Top Bottom